WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amezindua Mpango wa Kitaifa wa Kukuza Stadi za
Kusoma, Kuandika na Kuhesabu (KKK) unaolenga kukuza viwango vya uelewa
kwa watoto wa darasa la kwanza na la pili kwa nchi nzima.
Mpango
huo wa miaka mitatu ulioanza kutekelezwa 2014/2015 hadi 2016/2017
umelengwa kuwahusisha watoto wenye umri wa miaka mitano hadi 13 walio
kwenye mfumo rasmi wa elimu na usio
↧