Msanii mkongwe katika gemu
la filamu Bongo, Wastara Juma ameapa kumshtaki mtu atakayemkamata
kutokana na baadhi ya mashabiki kuwa na tabia ya kumtukana matusi ya
nguoni mtandaoni huku wakimhusisha na marehemu mumewe, Sajuki.
Akizungumza na gazeti la Ijumaa, Wastara alisema anajisikia vibaya baadhi
ya mashabiki wanavyomtukana kwenye mitandao ya kijamii jambo ambalo siyo
zuri kwani
↧