VIONGOZI wa madhehebu mbalimbali ya dini nchini wametakiwa kuacha tabia ya kuwakumbatia na kuwanadi baadhi ya wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi mbele ya waumini wao kwa kutumia nyumba za ibada.
Rai hiyo ilitolewa jana mjini Songea na Mwenyekiti mpya wa Serikali ya Mtaa wa Making’inda, Hashim Asham alipokuwa akizungumza na wanawake wa mtaa huo wakati wa uzinduzi wa Chama cha Akiba
↧