Wizara ya Kazi na Ajira iko katika mchakato wa kuandaa Sheria mpya ya utoaji wa vibali vya ajira kwa wageni ili kudhibiti kuajiriwa kwa wageni ili kufanya kazi ambazo Watanzania wenyewe wanaweza kuzifanya.
Alisema mchakato huo uko karibu kukamilika na utapelekwa bungeni kutokana na ratiba na kueleza kuwa itasaidia kudhibiti wafanyakazi wageni wanaoingia nchini bila utaratibu maalum na
↧