Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all articles
Browse latest Browse all 45270

Baba Afikishwa Mahakamani kwa Tuhuma za Kumlawiti Mtoto wake wa Kumzaa

$
0
0
MKAZI wa mtaa wa Migongo kata ya Migongo Halmashauri ya Mji wa Masasi mkoani Mtwara, Hajili Mpili (52) amepandishwa kizimbani katika mahakama ya wilaya ya Masasi kwa tuhuma za kumlawiti mtoto wake wa kiume mwenye umri wa miaka tisa.   Mtuhumiwa alifikishwa mahakamani hapo mwishoni mwa wiki na kusomewa shitaka na mwendesha mashtaka Suleimani Omari mbele ya hakimu Halfani Ulaya.   Mbele

Viewing all articles
Browse latest Browse all 45270

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>