Waafrika wanaoishi na kusoma jijini hapa, wameshiriki na wenyeji katika sherehe za mwaka mpya wa China (Spring Festival) unaoadhimishwa kwa wiki moja kuanzia Februari 19 mwaka huu.
Walisherehekea mwishoni mwa wiki badala ya wakati husika kutokana na juma hilo kuwa na shughuli nyingi za China na pia watu wengi wakiwemo wenyeji husafiri nje ya miji kama Beijing kwa likizo muhimu ambayo wengi
↧