Mamlaka ya Udhibiti Usafirishaji wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA), imewanoa wamiliki wa mabasi ya masafa marefu kuhusu usimamizi na udhibiti wa sekta ya usafiri wa barabara ili wazaidie kupunguza na kutokomeza kabisa ajali baada ya kuwapatia semina maalumu.
Semina hiyo maalumu ya siku mbili iliyoanza juzi mjini Morogoro imewashirikisha viongozi wa Chama cha Wamiliki wa Mabasi Tanzania (
↧