Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limesema usahihishaji wa
mitihani ya kidato cha nne uliofanyika Novemba mwaka jana, umekamilika.
Katibu
mtendaji wa Necta, Dk Charles Msonde amesema
kuwa “usahihishaji umekamilika na baraza lipo katika uchambuzi wa
kuyapanga na tutakapokamilisha tutayatangaza”.
Alipoulizwa
ni lini hasa matokeo hayo yatatangazwa, Dk Msonde alisema: “Tumemaliza
↧