JESHI la Polisi mkoani Ruvuma limeahidi kuwa limejipanga vizuri, kukabiliana na vurugu na matukio ya kihuni kuelekea uchaguzi mkuu, utakaofanyika Oktoba mwaka huu.
Hayo yalisemwa na Kamanda wa Polisi wa Mkoa, Mihayo Msikhela alipozungumza na mwandishi ofisini kwake mjini hapa jana.
“Hatutakuwa na msalie Mtume kwa mtu yeyote atakayejihusisha na uvunjifu wa amani na kufanya mambo ya
↧