MKUU wa Wilaya ya Bahi mkoani Dodoma Betty Mkwasa amepiga marufuku shughuli zote za waganga wa kutoa uchawi maarufu kama lambalamba.
Alisema sasa itaandaliwa amri halali na akisikia kijiji kina lambalamba, mtu wa kwanza kukamatwa ni Mwenyekiti wa Serikali ya Kijiji kwani inaonesha waganga hao wamekuwa na ushirikiano na viongozi hao.
Alitoa kauli hiyo juzi baada ya kutembelea kijiji
↧