SERIKALI imesema inaendeleza jitihada za kuachana na matumizi ya nguzo za umeme za miti, badala yake itatumia nguzo za zege ikiwa ni hatua mojawapo ya kuboresha huduma ya usambazaji na upatikanaji wa umeme nchini.
Hayo yalibainika mwishoni mwa wiki katika kikao baina ya uongozi wa Kampuni ya Sunshine Group Ltd na wataalamu wa sekta ya umeme kutoka Wizara ya Nishati na Madini na Shirika
↧