Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), imewapandisha mahakamani Mkuu wa Wilaya ya Mufindi, Evarista Kalalu na wakurugenzi wawili kwa makosa mawili yanayohusiana na rushwa kinyume na Kifungu cha 32 cha Sheria ya Takukuru Namba 11 ya mwaka 2007.
Katika kesi hiyo inayowaunganisha maofisa wengine wawili wa halmashauri ya wilaya ya Mufindi, wanatuhumiwa kuisababishia
↧