Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imesema kuwa haikurupuki katika kuwashughulikia na kuwafikisha mahakamani viongozi wanaotuhumiwa kujipatia fedha kutoka kwenye akaunti ya Tegeta Escrow na kwamba ushahidi pekee ndiyo itakaofanya kuwafikisha mahakamani watuhumiwa.
Akizungumza mara baada ya kuzindua jengo la ofisi ya mkoa la Taasisi hiyo mjini Kigoma juzi, Mkurugenzi Mkuu
↧