Hii story nimekuta inajadiliwa sehemu flani, nikaona si mbaya nikusogezee na wewe mdau.Jamaa anasema alikuwa Lodge na mpenzi wake wamejipumzisha.
Kama unavyojua mambo ya Lodge, hasa unapokuwa na mke wako au mchumbaako, jamaa anadai walijiachia vyakutosha ili mradi tu kila mmoja aifurahie siku hiyo.
Kumbe purukushani zao za chumbani zilikuwa
↧