Mshindi wa Sh milioni 10 katika shindano la wazo bora la biashara linaloendeshwa na Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP Media, Reginald Mengi kupitia kwenye mtandao wa kijamii wa twitter ametangazwa na wengine kumi wamejinyakulia kitita cha Sh milioni moja.
Fredrick Shayo, mhitimu wa chuo kikuu na mjasiriamali anayejishughulisha na ufugaji wa kuku wa kienyeji ndiye aliyetangazwa kuwa mshindi
↧