Inadaiwa kuwa kimenuka kati ya msanii Rehema Chalamila ‘Ray C’ na
baba mwenye nyumba wake, Hussein Kassim baada ya mdada huyo kudaiwa
kugoma kutoa vyombo vyake kwenye mgahawa aliopangishwa na mkataba
kuisha.
Ray C aliyekuwa akitoa huduma ya chakula na vinywaji kwa wafanyakazi
wa Hospitali ya Mwananyamala jijini Dar kupitia mgahawa wake maarufu kwa
jina la Ray C Restaurant, alifikia
↧
Ray C Amtibua Baba Mwenye Nyumba.....Ni baada ya mkataba wake Kuisha kisha kugoma kutoa Vitu Vyake
↧