Kesi ya mauaji ya aliyekuwa mwandishi wa
habari wa kituo cha runinga cha Chanel ten, Daudi Mwangosi inayomkabili
askari polisi, Pacificus Cleophace, jana ilianza kusikilizwa katika
Mahakama Kuu Kanda ya Iringa chini ya Jaji Paulo Kihwelo kwa shahidi wa
kwanza kuelezea namna walivyotekeleza agizo la aliyekuwa Kamanda wa
Polisi Mkoa wa Iringa, Michael Kamuhanda.
Shahidi huyo ambaye
↧