Katibu Mtedaji wa Baraza la Mitihani la Taifa Dk Charles Msonde
ametangaza matokeo ya mitihani ya Shule za Sekondari ya Kidato cha Nne
ya mwaka jana na kusema, kiwango cha ufaulu kimeongezeka kwa asilimia 10
ikilinganishwa na matokeo ya mwaka 2013.
Dkt Msonde ametaja watahiniwa 10 waliofanya vizuri kuwa ni:
Nyakaho Marungu kutoka Baobab Pwani
Elton Sadock Jacob kutoka Feza Boys Dar
↧