Haya ni maoni ya mwanasheria kijana, Alberto Msando kuhusu makosa ya
uandishi wa lugha ya kingereza kwenye kasha la filamu ya Mzee wa Swaga,
iliyotengenezwa na kampuni ya Jerusalem, inayomilikiwa na msanii nguli
wa filamu, Jacob Stephen 'JB '.
Alberto aliandika haya mara baada ya kubandika picha hiyo ya kwenye kasha :
“Bado ni marafiki zangu tu. Ninachotaka ni sanaa yenu
↧