MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura), imeshusha kidogo bei ya umeme kuanzia Machi Mosi mwaka huu, huku ikisisitiza kwamba bei hiyo itaendelea kupungua zaidi mradi wa bomba la gesi kutoka Mtwara hadi Dar es Salaam utakapoanza kazi.
Taarifa za hivi karibuni, zimeeleza kuwa bomba hilo limekamilika kwa asilimia 99 na kinachosubiriwa ni pamoja na majaribio ya usafirishaji
↧