Siku chache baada ya Serikali kusema itazifutia usajili shule zitakazokaidi agizo la kuweka viwango maalumu na tofauti vya ufaulu kutoka kidato kimoja kwenda kingine, wadau wa elimu wamezungumza na kusema agizo hilo linalenga kuua ubora wa taaluma nchini.
Akizungumza na mwandishi, Katibu Mkuu wa Shirikisho la Wamiliki na Mameneja wa Shule na Vyuo Visivyo vya Serikali (TAMONGSCO), Benjamin
↧