Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, iliimarisha ulinzi wakati kesi ya ugaidi inayomkabili Kiongozi wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (Jumiki), Shekhe Farid Hadi Ahmed na wenzake ilipotajwa.
Askari walikuwa wengi katika eneo la Mahakama huku kila mtu aliyeingia getini akikaguliwa kwa kifaa maalumu na kupapaswa ili kuangalia kama ana silaha.
Jana kesi
↧