Zaidi ya watu 50 wamekamatwa na jeshi la polisi kufuatia vurugu kubwa iliyotokea katika mji wa katoro mkoani Geita.
Chanzo
cha vurugu hizo ni mgomo wa wanafunzi wa shule za msingi kilimani,
Mkapa na Ludete ambapo walilala katikati ya barabara, kushinikiza
kuwekewa matuta kutokana na matukio ya ajali ya mara kwa mara hivyo
kutishia usalama wao.
Hata baada ya kuwekewa matuta kuzuia
↧