Kampuni ya Acacia inayomiliki mgodi wa dhahabu wa Buzwagi mkoani Shinyanga, imesema ndani ya miaka miwili, itasitisha shughuli za uchimbaji na uzalishaji madini hayo, kutokana na soko kuzidi kushuka.
Meneja Mkuu wa mgodi huo, Filbert Rweyemamu alisema hayo juzi katika kikao cha pamoja baina ya mgodi na wajumbe wa Kamati ya Kijiji cha Mwime, iliyoundwa na uongozi wa mtaa wa Mwime kwa
↧