Baba wa staa wa muziki Dully Sykes, Marehemu Abby Sykes aliyefariki
dunia juzi katika hospitali ya taifa Muhimbili amezikwa jana katika
makaburi ya Kisutu Jijini Dar es Salaam.
Msiba
huo mkubwa katika tasnia ya Burudani umeweza kugusa mamia ya
waombolezaji wakiwepo mastaa mbalimbali na wadau wa sanaa hiyo, ambao
walimfahamu marehemu kutokana na shughuli zake za muziki.
Mpekuzi
↧