Mungu ni mkubwa :Mama mzazi wa Supastaa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond
Platnumz’, Sanura Kassim ‘Sandra’, amerejeshwa Bongo kutoka India ambapo
afya yake imetengemaa.
Habari kutoka chanzo cha kuaminika ndani ya familia ya jamaa huyo, kimesema kwamba tayari Sandra amesharejea katika hali
yake ya kawaida na ndiyo maana akarudi Bongo baada ya kulazwa
hospitalini nchini India kwa
↧