Licha ya Mamlaka ya Chakula, Dawa na Vipodozi (TFDA) kufuta usajili na kupiga marufuku uuzaji wa dawa duni, zenye madhara na zisizofaa kwa matumizi ya binadamu, dawa hizo zimegundulika kuuzwa holela na baadhi ya wamiliki wa maduka ya dawa katika kata ya Kisesa wilayani Magu mkoani Mwanza.
Hayo yameelezwa na wakazi wa Kisesa wilayani hapa, wakati wa semina ya siku moja iliyojadili
↧
Dawa Zilizopigwa MARUFUKU Zazagaa Mitaani....Wananchi Wataka TFDA Ichue hatua za Haraka kuwanusuru
↧