Shule za sekondari za Serikali zinazochukua watoto wenye vipaji, zimeshindwa kung'aa kwenye matokeo ya kidato cha nne 2014 huku shule ya Ilboru ya mjini Arusha ikiwa ni shule ya kwanza ya Serikali na iko nafasi ya 35 kati ya shule 2,320 zilizofanya mtihani wa kidato cha nne 2014.
Mwaka 2013, Ilboru ilishika nafasi ya 41 chini ya shule nyingine yenye vipaji ya Mzumbe ambayo katika matokeo
↧