WAKUU wa shule za sekondari wilayani Namtumbo, wamepigwa marufuku kuwafukuza wanafunzi ambao wanashindwa kulipa ada na michango mingine kwa kuwa inawasababisha watoto kupoteza muda wao mwingi wa masomo na hatimaye kufanya vibaya katika mitihani yao.
Aidha wameshauriwa kutafutia njia mbadala na kuandaa utaratibu utakaowabana wazazi hao kulipa ada za watoto wao bila usumbufu, ikiwemo
↧