Tukio la takribani wiki mbili zilizopita
lililofanywa na Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Steven
Wassira,(pichani) la kukosea kufunga vifungo vya koti lake katika
mkutano wa Injili wa dhehebu la Wasabato uliofanyika Februari 7, mwaka
huu, limeipa lawama kambi ya kusaka urais inayoongozwa na Waziri wa
Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernand Membe.
Wafuasi wa Waziri
↧