Takribani miaka 15 imepita tangu ilipotokea ajali katika kijiji cha Idweli wilayani Rungwe mkoa wa Mbeya, iliyosababisha vifo vya watu walioungua wakichota petroli kwenye gari lililopinduka.
Hata hivyo, tukio la namna hiyo limejirudia tena kijijini hapo na safari hii watu wawili, wamekufa na wengine 18 kujeruhiwa wakati wakichota mafuta kwenye gari lililopinduka.
Lori hilo lilikuwa
↧