Wanasiasa wamenyooshewa vidole, wakihusishwa na mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi baada ya matukio hayo kuhusishwa na harakati za kuelekea katika uchaguzi mkuu.
Vyama vya watu wenye ulemavu pamoja na baadhi ya wadau kutoka vyama vya siasa, vimetaka Serikali kutopuuzia dhana hiyo ya kuhusisha harakati za kisiasa na mauaji hayo.
Aidha, Chama cha Walemavu wa Ngozi Tanzania, kimesema
↧
Wanasiasa Wahusishwa Mauaji ya Albino Nchini.....Tangu 2006 hadi sasa Albino 76 Wameauawa Kikatili
↧