Mfanyabiashara mashuhuri, Marijan Abubakar maarufu kama Papaa Msofe (50) anayekabiliwa na kesi ya mauaji, ameshindwa kufika mahakamani kwa kuwa anaumwa.
Kesi hiyo ilitajwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu lakini Wakili wa Serikali Hellen Moshi alidai bado upelelezi haujakamilika na kwamba Papaa Msofe hakufika mahakamani, kwa kuwa wamepata taarifa kuwa anaumwa.
Hakimu Mkazi
↧