Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Clouds Media Group, Joseph Kusaga amesema kuwa habari zilizoenea mtaani kwamba kampuni hiyo imeuzwa ni za uzushi na kuwataka Watanzania wazipuuze.
Kampuni hiyo ambayo inamiliki Clouds FM, Clouds Tv na Choice FM ilidaiwa kuuzwa kwa Rostam Aziz ambaye ni mmoja wa wafanyabiashara maarufu na kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Kusaga (pichani) alisema
↧