Habari ya mjini ni kwamba, lile penzi linalonadiwa
la Mbongo-Fleva, Omary Faraji Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ na mwigizaji Wema
Isaac Sepetu ‘Madam’ limejaa magumashi, ikidaiwa kuwa jamaa huyo kawekwa
kama boya tu, nyuma yake kuna kigogo mzito serikalini ndiye anayekula
vinono.
Kwa mujibu wa chanzo cha kuaminika, Dimpoz ameagizwa na kigogo huyo
awe mpenzi kivuli wa Wema ili kuzuga watu
↧