Aliyekuwa memba wa kundi la Chamber Squad, Moses Bushagama ‘Mez B’
ambaye amefariki jana mjini Dodoma anatarajiwa kuzikwa Jumatatu katika
makaburi ya Wahanga yaliopo Maili Mbili mjini Hapo.
Mtandao huu uliongea
na mama wa marehemu, Marry Mkandawile ambaye alisema kuwa kwa sasa
msiba upo maeneo ya Kisasa mjini Dodoma.
↧