KIONGOZI wa vijana waliopata mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT),
waliokuwa wakiishinikiza Serikali kuwapatia ajira, George Mgoba,
amelazwa katika Hospitali ya Amana, jijini Dar es Salaam, baada ya
kutekwa nyara na kisha kuteswa na watu wasiojulikana.
Mgoba ni miongoni mwa vijana waliowawakilisha wenzao zaidi ya 300
kukutana na viongozi wa juu wa Serikali hivi karibuni, akiwemo
↧