BAADHI ya vifaa vya abiria vilivyoporwa katika tukio la utekaji wa magari 11 uliofanywa na majambazi waliokuwa na silaha za jadi mkoani Manyara mwanzoni mwa wiki hii, vimekutwa vikizagaa katika maeneo yalikofanyika uporaji huo.
Akizungumzia tukio hilo, Kamanda wa polisi mkoani Manyara, Christopher Fuime alisema vitu vilivyopatikana ni pamoja na laini za simu 14 na simu zinazouzwa kwa bei
↧