Maduka ya wafanyabiashara mbalimbali yaliyopo mtaa wa India jijini Tanga
yameteketea kwa moto kwa kile kinachodaiwa kuwa imetokana na hitilafu
ya umeme.
Moto
huo uliokuwa ukifukuta ndani katika maeneo hayo ya biashara
ulisababisha baadhi ya mashuhuda wa tukio hilo kutaka kulishambulia gari
la zima moto la halmshauri ya jiji la Tanga kufuatia kufika katika eneo
la tukio lakini
↧