Vijana mbalimbali ambao
walipata mafunzo kutoka Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), leo wamekutana
katika eneo la Msimbazi Center jijini Dar es Salaam, kisha kuelekea
katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa ajili ya kumjulia hali
mwenyekiti wao George Mgoba ambaye alitekwa na watu wasiojulikana.
Mwenyekiti wa JKT, George Mgoba akiwa wodini.
Askari wakiimarisha usalama eneo la
↧