SERIKALI imesema madai ya baadhi ya vijana waliohitimu katika Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kuruhusiwa kujiunga na vikundi vya majeshi ya nchi jirani yanayopigana ni kukosa uzalendo na uaminifu kwa taifa.
Pia, kukiuka kiapo chao cha uaminifu kwa nchi yao na hakioneshi kwamba vijana hao wana nia njema na taifa hili huku ikiweka wazi kuwa itavichukulia hatua vyombo vya habari vilivyotumika
↧