MKUU wa Wilaya mteule wa Wilaya ya Wanging’ombe mkoani Njombe, Frederick Mwakalebela amesema iwapo ushawishi na dhamira vitamtuma kuwania tena ubunge Iringa Mjini, halitakuwa jambo la ajabu kufanya hivyo, licha ya madaraka aliyopewa.
Ingawa amesema, sasa macho yake anayaelekeza katika kutekeleza majukumu mapya aliyopewa na Rais Jakaya Kikwete katika Wilaya ya Wanging’ombe, historia
↧