Mtangazaji wa Kipindi cha Wanawake Live, Joyce Kiria
amepokea samansi ya mashtaka kutoka kwa Mbunge wa Jimbo la Dimani,
Zanzibar, Abdallah Sharia Ameir (CCM) ambaye amedai amlipe fidia ya
kumdhalilisha sh. Milioni 500 au amuombe radhi kupitia kipindi chake.
Akiongea na Mwandishi wetu, Joyce Kiria alisema kuwa amepokea barua hiyo kwa
mikono miwili na anawasubiri wanasheria wake ili
↧
Joyce Kiria Adaiwa Milioni 500 kama Fidia ya Kumdhalilisha Mbunge Kupitia Kipindi cha Wanawake Live
↧