Jeshi la polisi mkoa wa Morogoro limewakamata wahamiaji haramu 13
kutoka nchini Ethiopia wakiwa kwenye gari ndogo aina Prado katika
kijiji cha Lusanga Turiani wilayani Mvomero wakijiandaa kwenda Afrika
kusini kupitia mkoani Mbeya .
Kamanda
wa polisi mkoa wa Morogoro ACP leonard Paul akizungumzia tukio hilo
amesema waethiopia hao walitokea nchini Kenya na kupita Handeni na
↧