Rais
Jakaya Mrisho Kikwete wa Tanzania amesema serikali itaendelea kuboresha
sekta ya elimu hapa nchini kwa lengo la kuhakikisha vijana wanaosoma
katika shule za sekondari wanapata elimu bora mara kabla ya kuhitimu.
Rais Kikwete aliyasema hayo jana jijini Dar es salaam mara baada ya
kupokea vitabu milioni 2 na laki 5 vya masomo ya Sayansi na Hisabati
kutoka serikakali ya Marekani
↧