Wananchi wenye hasira mjini Ilula, mkoani Iringa,
wamevamia kituo cha polisi na kuvunja milango kisha kuwafungulia
mahabusu waliokuwemo ndani, wakachoma moto baadhi ya magari yaliyokuwepo
kituoni hapo pamoja na mafaili.
Kwa mujibu wa shuhuda wa tukio hilo, tukio hilo limetokea leo
kufuatia mwanamke ambaye hakufahamika jina lake wakati anakimbia alichotwa mtama na Polisi na
↧