Diva wa filamu nchini, Wastara Juma ambaye kwa sasa anaripotiwa kuwa
katika mapenzi na mwigizaji mwenzake, Bond Bin Suleiman anadaiwa
kupoteza fahamu mara tu baada ya kupewa taarifa kuwa mpenziwe huyo
amepata mtoto wa nne kwa mwanamke mwingine.
Kwa mujibu wa chanzo makini,
Wastara alipenyezewa ubuyu na mpenzi wa zamani wa Bond, Lulu Semagongo
‘Aunty Lulu’ na kuambiwa kwamba
↧