Picha ya mwigizaji mkongwe wa vichekesho “KOMEDI” Lucas Mhuvile
‘Joti’ imewakuna watu wengi na kufanya kuwa ni moja kati ya picha
zinazo” TREND” mtandaoni toka jana.
Japo kuwa Joti akiwa kama ‘Bi kiboga’ ametokelezea kiofisi zaidi,
watu wengi wamejituka wakiangusha komenti nyingi wakielezea kuvunjika
kwa mbavu zao kwa kicheko huku wengine wakisema mnuno wake ndio balaa na wengine
↧