Huduma za kutuma na kupokea fedha na kufanya mihamala mbalimbali ya
malipo zinazotolewa na makampuni ya Vodacom Tanzania kupitia huduma yake
ya M-Pesa na Tigo kupitia huduma yake ya Tigopesa zitazidi kuimarika
kutokana na makampuni hayo kuingia makubaliano ya kutoa huduma hizo kwa
ushirikiano.
Ushirikiano huo utawawezesha wateja wa makampuni hayo kutuma na kupokea fedha na kufanya
↧