Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiweka shada la
maua katika kaburi la aliyekuwa Rais wa Zambia Michael Sata aliyefariki
mwaka jana katika eneo la maziko ya viongozi wa kitaifa jijini Lusaka
Zambia jana.
Rais Kikwete alitumia wasaa huo pia kuweka shada la maua
katika marais wa Zambia waliofariki Marehemu Frederick Chiluba na Levy
Mwanawasa. Picha na
↧